Sudi Tells Off Itumbi As He Vehemently Defends Raila On The Kisumu Violence

Date:

Kapseret member of parliament Oscar Kipchumba Sudi has come out to strongly defend the Orange Democratic Movement (ODM) leader Raila Odinga from the ongoing accusations following the Kisumu violence.

According to Oscar Sudi, Kisumu people gave them the best reception befitting their status contrary to what DP Ruto bloggers sucn as Dennis Itumbi have been perpetuating.

Sudi also said that the violence might have been orchestrated by the local leadership within Kisumu region and not by the Opposition chief Raila Odinga.

Sudi further defended the Kisumu people from the online slaughter led by Itumbi and other United Democratic Alliance(UDA) leaders and bloggers.

Nimeona watu wengi mtandao wakilalamika kuhusu safari yetu ya  Kisumu ama safari yetu ya Nyanza. Kwanza kabisa nataka niseme safari yetu imekuwa  safari mzuri sana kwanzia siku ya jana. Tumekuwa na mkutano zaidi ya nne jana jioni kwanzia sanane.

“Leo tumeamka asubui tumekaribishwa sana na  watu wa Kisumu haswa vijana wa bodaboda walikuja kule hotelini wakatuchua na walikuwa wengi sana na tumekuja kwa njia ya taratibu sana.

“Tumefika kule before airport tukafanya mkutano, tumeingia pale juakali tukufanya mkutano kubwa sana, tumeingia Kisumu katikati town tukafanya mkutano kubwa sana. Mimi nataka niseme kwa niaba yangu, wananchi ya kisumu, wananchi wa Nyanza province ni wangawana sana.

“Although iyo kasoro kidogo umeona pale Kondele, ni viongozi wa county na wanasiasa wengine hapo kidogo sijui walipewa pesa na nani. Lakini ya Kunishangaza sana yenye imenikera sana ni kuona spokesman mzima wa polisi. Wajinga walipungua Kenya wewe spokesman wa polisi.

Tumekuwa na polisi wale wadogo wenye mnatumianga hao vibaya. Wangwana wenye wanajua ni nini ilifanyika. Ukisema ni watu walikuwa wanang’ang’ania pesa pesa ilikuwa wapi? Empowerment yenye tulikuwa tunapeana hatupeanangi kwa uwanja kuna taratibu yake iko na record iko na mambo inafuatwa.

“Spokesman wa polisi mzima badala uulize ata polisi wadogo wenye walikuwa kwa ground ni nini imefanyika unasema ni maneno ya pesa. Pesa imetokea wapi kuingilia gari mpaka wanapiga gari ya naibu wa rais.

“Pesa inatokana wapi na hakututoa pesa. Kaqma ingekuwa pesa wenyewe kwa wenyewe wangepigana baada ata ya masaa mawili wakigawa pesa. So mimi nataka niambie spokesman wa polisi, wacha ku milead Kenyans na uwache kufanya biashara ama kufanya kazi yenye haujapewa na mutu.

“Unajua umejaribu ku manage vitu mingi kwa muda mrefu. Mara wanasema sijui ooh walikuwa  wamepanga sijui imefanyika nini, mimi mwenyewe nimekuwa Kisumu kwa muda mrefu na watu wa kisumu ni marafiki wangu sana.

“Na mimi nataka kuambia Wakenya kama kuna mkutano niliona kwa mwaka huu ama mwaka jana, sijaona mkutano mzuri kama ile niliona Kisumu juzi. Na mimi nataka niambie watu wa Kisumu pongezeni sana na karibuni sana mtembee popote Kenya hii na mfunze viongozi wenye ya kwamba haisaidii chochote kununua vijana na elfu tatu tatu ama elfu mbili warushe mawe.” Said Sudi in a recorded video clip.

RELATED STORY:Sudi Tells Off Itumbi As He Vehemently Defends Raila On The Kisumu Violence

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Share post:

Subscribe

spot_imgspot_img

Popular

More like this
Related

The Senate Boys Club Makes Life For Women There Difficult- Gloria Orwoba

The Boys Club in the senate is giving nominated...

Senator Onyoka Explains Why Primary, Secondary And University Education Should Be Free

Kisii senator Richard Onyonka has advocated for free education...

Athlete Sustains Burn Injuries After Her Boyfriend Doused Her With Petrol

Rebecca Cheptegui, a Ugandan long distance runner  is hospitalized...

LSK Speaks On Death Threats Mediamax Journalist Wanjeri Kariuki Is Facing

LSK President Faith Odhiambo is calling for investigations after...